Shughuli ya kuwafahamisha watahiniwa wa darasa la nane shule za upili watakazojiunga nazo imeanza leo hii huku watahiniwa elfu 29, 411 wakiteuliwa kujiunga na shule za kitaifa. Wengine elfu 123,399 ...
Katika siku chache hizi kumetokea kisa cha kipekee nchini Kenya kinachodhihirisha mgongano kati ya sanaa na siasa , Shule ya wasichana ya Butere, kwa mara ya pili ndani ya miaka 12 imejipata matatani ...
Wasiwasi umeibuka kuhusu mwenendo wa wanafunzi wa shule za upili nchini Kenya kuchoma majumba na mali ya shule, wiki sita tu kabla ya kufanyika mitihani ya kitaifa Ofisi ya mkuu wa upelelezi ...
Kundi la kigaidi la ADF linashukiwa kushambulia shule hiyo, kuwachoma moto na kuwauwa watu 42. Mamlaka inasema kwamba uchunguzi unaendelea, lakini familia hazifichi kuonyesha mfadhaiko wao na kesi ...
Tangazo hilo linakuja siku moja baada ya vifo vya waandamanaji sita wakiwemo wanafunzi wa shule tano za upili, waliouawa Jumatatu wakati wa maandamano katika mji wa Al-Obeid, katikati mwa nchi. Vifo ...
Mwaka wa shule wa 2025 ume anza hii leo Jummanne 28 Januari katika majimbo ya Queensland na Kusini Australia, wanafunzi wa shule za msingi na upili wanatarajia kurejea shuleni kesho Jumatano 29 ...