Mwanamke mmoja, Mkazi wa Mtaa wa Sabasaba, kata ya Rau, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, amekamatwa na Jeshi la Polisi, akituhumiwa kutupa mtoto mchanga wa jinsia ya kike katika shimo la Choo.
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimepinga agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, la kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, kikisema hatua hiyo ni kinyume na ...
Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, amewataka watanzania kuendelea kushirikiana katika kulinda amani na usalama wa nchi kwa kutopuuzia viashiria vinavyoweza kuhatarisha utulivu wa Taifa, akisisitiza ...
Wimbi la viongozi na wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) kujiondoa ndani ya chama hicho limeendelea kushika kasi baada ya wanachama 40, wakiwemo viongozi 15 wa ngazi mbalimbali, kutangaza kuachana ...
ROAD accidents in Zanzibar have recorded a worrying rise, with fatalities nearly tripling year-on-year, raising fresh concerns over road safety and enforcement across the islands. Official statistics ...
Ulinzi na usalama unatarajiwa kuimarishwa zaidi katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) mwaka huu ili kuhakikisha usalama wa wafanyabiashara, washiriki na wananchi ...
Shirika la Ndege la Brussels Airlines kutoka Brussels, Ubelgiji, limeandika historia mpya katika sekta za usafiri wa anga, utalii na biashara nchini Tanzania baada ya kuzindua rasmi safari za moja kwa ...
MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema miradi mikubwa ya maendeleo nchini inaweza kutekelezwa bila kutegemea mikopo ya taasisi za fedha ...
LEO Yanga ina kibarua kigumu na muhimu cha kusaka pointi tatu muhimu za kuwapeleka hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kwa namna msimamo wa kundi A wa michuano hiyo, Yanga ...
Afisa Mkuu wa Mipango ya Miji wa Kaunti ya Nairobi, Patrick Analo Akivaga, amekamatwa na maafisa wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) kufuatia uchunguzi wa tuhuma za mali isiyoelezeka na ...