Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amewataka wananchi, wakiwamo madereva bodaboda, bajaji na wajasiriamali wadogo nchini, kuendelea na shughuli zao kama kawaida ifikapo ...
Dar es Salaam. Wakati Yanga ikisherehekea paredi la ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya tano mfululizo, mashabiki wa Simba wamezidi kujifariji kwa bao lililofungwa na nyota wa kikosi hicho, Clatous ...
Dar es Salaam. Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeitoza Klabu ya Yanga, faini ya Sh100 milioni baada ya kubainika kuwa wachezaji na benchi la ufundi walitumia nyumba iliyo nje ya uwanja badala ya ...
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu wakati akitoka katika kizimba cha Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam Jumatano, Februari 18, 2026 baada ya kesi yake kuahirishwa. Picha na Maktaba Dar es ...
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania na ya Marekani leo Jumatano, Julai 1, 2026 zimesaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Sekta ya Afya (MoU) ya miaka mitano yenye thamani ya zaidi ya dola ...
Mwenyekiti wa Mpito wa Bodi ya Tanzania Breweries PLC, Ami Mpungwe, (kushoto), Michelle Kilpin Mtendaji Mkuu wa TBL) Michelle Kilpin, (Katikati) na Avito Swai, Mkuu wa Kitengo cha Fedha TBL (Kulia) ...
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi wa Sera, Uhusiano na Ushirikiano na Serikali (PGRP), Divisheni ya Afrika na India kutoka Taasisi ya Gates, Caty Fall Sow aliyeambatana na ...
Nahodha wa zamani wa Manchester United na timu ya taifa ya Ireland, Roy Keane, amesema anaamini safari ya England katika Fainali za Kombe la Dunia 2026 itaishia hatua ya robo fainali, akidai timu hiyo ...
Dar es Salaam. Mshambuliaji Prince Dube amepiga chini ofa tatu kubwa na kufanya uamuzi magumu ya kurejea nchini kwao Zimbabwe akisaini mkataba wa miaka miwili. Dube amesaini mkataba na Hardrock ya ...
Dar es Salaam. Miaka sita iliyopita ndipo ulisikika wimbo wa kwanza kati ya staa wa Bongo Fleva, Rayvanny na Nora Fatehi, mzaliwa wa Toronto, Canada ambaye amepata umaarufu kutokana na soko la filamu ...
Kabla ya kutongoa, nakusihi. Jikumbushe kisa cha ‘sizitaki mbichi hizi. na rumba la Madilu System’ Hii, ni kwa wale waliosoma enzi za Mchonga kabla ya UPE na uholela baada ya hapo. Sungura zwazwa, ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.