Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu wakati akitoka katika kizimba cha Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam Jumatano, Februari 18, 2026 baada ya kesi yake kuahirishwa. Picha na Maktaba Dar es ...
Mwenyekiti wa Mpito wa Bodi ya Tanzania Breweries PLC, Ami Mpungwe, (kushoto), Michelle Kilpin Mtendaji Mkuu wa TBL) Michelle Kilpin, (Katikati) na Avito Swai, Mkuu wa Kitengo cha Fedha TBL (Kulia) ...
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi wa Sera, Uhusiano na Ushirikiano na Serikali (PGRP), Divisheni ya Afrika na India kutoka Taasisi ya Gates, Caty Fall Sow aliyeambatana na ...
Nahodha wa zamani wa Manchester United na timu ya taifa ya Ireland, Roy Keane, amesema anaamini safari ya England katika Fainali za Kombe la Dunia 2026 itaishia hatua ya robo fainali, akidai timu hiyo ...
Dar es Salaam. Mshambuliaji Prince Dube amepiga chini ofa tatu kubwa na kufanya uamuzi magumu ya kurejea nchini kwao Zimbabwe akisaini mkataba wa miaka miwili. Dube amesaini mkataba na Hardrock ya ...
Dar es Salaam. Miaka sita iliyopita ndipo ulisikika wimbo wa kwanza kati ya staa wa Bongo Fleva, Rayvanny na Nora Fatehi, mzaliwa wa Toronto, Canada ambaye amepata umaarufu kutokana na soko la filamu ...
Dar es Salaam. Dereva wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, John Heche, Suez Maradafu, amefariki dunia katika nyumba ya wageni aliyokuwa amefikia mkoani Kigoma.
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania na ya Marekani leo Jumatano, Julai 1, 2026 zimesaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Sekta ya Afya (MoU) ya miaka mitano yenye thamani ya zaidi ya dola ...
Kabla ya kutongoa, nakusihi. Jikumbushe kisa cha ‘sizitaki mbichi hizi. na rumba la Madilu System’ Hii, ni kwa wale waliosoma enzi za Mchonga kabla ya UPE na uholela baada ya hapo. Sungura zwazwa, ...
Timu ya taifa ya England imetinga hatua ya 16 bora baada ya kuichapa DR Congo mabao 2-1, katika mechi ya hatua ya 32 bora ya Fainali za Kombe la Dunia. England ilipindua matokeo kipindi cha pili ...
New Jersey, Marekani. Timu ya taifa ya Ufaransa imekata tiketi ya kucheza hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia, baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0, dhidi ya Sweden, huku nyota wa kikosi hicho, ...
Kocha wa timu ya Taifa ya Uholanzi, Ronald Koeman ametangaza kujiuzulu nafasi yake baada ya timu hiyo kuondolewa na Morocco katika hatua ya 32 Bora ya Kombe la Dunia. Katika mechi hiyo iliyochezwa ...