Idadi inayoongezeka ya wabunge wa Chama kikuu tawala cha Liberal Democratic, LDP nchini Japani wanatarajia Waziri Mkuu ...
Dhoruba kubwa ya theluji yenye upepo mkali inatarajiwa kuyakumba maeneo ya kando ya Bahari ya Japani, huku theluji ...
Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini amri ya rais ya kuzuia nchi au makampuni ya kigeni kupata mapato kutokana na ...
Uhaba wa chakula bado unaendelea katika Ukanda wa Gaza miezi mitatu baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel ...
Wakati maandamano ya kitaifa kuhusu ugumu wa kiuchumi yakiendelea nchini Iran siku ya Januari 10, kikosi maalum cha nchi hiyo ...
Rais wa Marekani Donald Trump amesisitiza tena udhibiti wa Marekani wa Greenland, akisema kwamba ikiwa nchi hiyo haitafanya ...
Mwanachama mwandamizi wa Hamas anasema kundi hilo halina nia ya kupokonywa silaha kwa kuwa uvamizi wa Israel huko Gaza ...
Serikali ya Venezuela inasema itatuma ujumbe nchini Marekani katika juhudi za kurejesha uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili.